Header Ads Widget

NCAA YASHIRIKI KONGAMANO LA Z-SUMMIT2025

Waziri wa Utalii na Mambo Kale wa Zanzibar, Mhe. Mudrick Soraga  ametembelea Meza ya Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro (NCAA) wakati wa kongamano la Z-Summit lililofanyika Chuo Kikuu cha Zanzibar  (SUZA).

Kongamano la Z-Summit limefanyika kuanzia tarehe 19-20 Februari,2025 na kuwakutanisha wadau mbalimbali wa sekta ya utalii ili kujadili changamoto na suluhisho za kuendeleza Zanzibar kama moja ya maeneo bora ya utalii duniani.

Post a Comment

0 Comments



MAGAZETI



NAMBA ZA HUDUMA YA USAFIRI WA KUKODI