Header Ads Widget

WATUMISHI REA WAYAPAMBA MAONESHO YA MKUTANO WA M300*

Watumishi kutoka Wakala wa Nishati Vijijini (REA) wameyapamba maonesho yanayoendelea  katika mkutano wa nishati wa wakuu wa nchi za Afrika jijini Da es Salaam. 

Mkutano huo umefunguliwa leo na Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko



 

Post a Comment

0 Comments



MAGAZETI



NAMBA ZA HUDUMA YA USAFIRI WA KUKODI