NA MATUKIO DAIMA MEDIA,IRINGA
WAKILI upande wa utetezi Barnabas Nyalusi kutoka kampuni ya mawakili ya BLS Attorney &Partner ameiomba Mahakama ya hakimu mkazi mfawidhi wilaya ya Iringa kuagiza upande wa Jamhuri kuharakisha upelelezi wa Kesi ya mauaji ya aliyekuwa katibu wa Chama Cha mapinduzi (CCM) wilaya ya Kilolo Christina Nindi Kibiki.
Wakili Nyalusi alisema Leo hamakamani hapo kuwa Kesi hiyo inamvuto mkubwa kwa jamii na wananchi wengi wanafuatilia hivyo kuomba upelelezi ufanyike haraka ili isikilizwe kwa wakati .
Hata hivyo upande wa Jamhuri ukiwakilishwa na wakili Sauli Makori na Damas Sixtus aliiambia Mahakamani hiyo kuwa upelelezi wa shauri hilo utakamilika ndani ya Siku 90 kwa mujibu wa taratibu nje ya hapo wataruhusu usikilizaji kuendelea .
Kesi ya Jinai namba 3404 ya mwaka 2024 kosa la mauaji awali lilikuwa kwa hakimu mkazi wa Mahakama ya wilaya ya Iringa Rehema Mayagilo Jana limetajwa Mbele ya hakimu mkazi mfawidhi Mahakama ya wilaya ya Iringa Adelina Faustino Ngwaya ambae ameahirisha shauri hilo Hadi February 4 mwaka huu litakapokuja kwa kutajwa tena.
Waliofikishwa Mahakamani hapo ni pamoja Boniphace Yohana Ugwale ambae ni diwani wa kata ya Nyanzwa Kilolo Kefa John Wales,Silla Johnson Kimwaga,Boniphace Yohana Ugwale katili ,Willy Gerald Chikweo na Hedikosi Gwerino Kimwaga kwa pamoja wanashitakiwa kumuua Christina Kibiki.
Washitakiwa hao walitenda kosa hilo mauaji Novemba 12 mwaka 2024 katika Kijiji Cha Ugwachanya wilaya ya Iringa Vijijini.
Baada ya Kesi hiyo kuahirishwa wakati waandishi wa habari wakitimiza Majukumu Yao ya kihabari kwa kupiga picha washitakiwa ,mmoja kati ya washitakiwa Kefa Wales alitoa vitisho kwa waandishi wa habari hao kwa kuwaonyesha kidole Cha katikati .
Hata hivyo waandishi hao wamefikisha malalamiko Yao kwa hakimu aliyekuwa akisikiliza Kesi hiyo na amewashauri kuripoti vitisho hivyo polisi .
Katika viwanja vya Mahakama hiyo umati mkubwa wa wananchi wakiwemo Wana CCM na ndugu wa marehemu Kibiki walifika kusikiliza Kesi hiyo japo idadi Yao haikuwa kubwa kama awamu iliyopita.
SIMULIZI
Dawa ya kumzuia mume asiende kulala nje ya ndoa
Ukweli ni kwamba katika ndoa wanawake wengi hupitia changamoto mbalimbali kutokana na tabia za wanaume wao kuwa na mapango wa kando, hilo kufanya kushindwa kuhudumia familia vizuri.
Nasema hivyo kwa sababu hilo lilishawahi kunipata maishani mwangu, mume wangu hakuijali familia yake kwa lolote lile licha ya kuwa alikuwa na kazi na anapokea mshahara kila mwezi.
Sikujua tatizo lilikuwa ni nini hasa, kila ambapo ningemuuliza ni wapi fedha zake zinakwenda, basi angekuwa mkali kiasi cha kuibuka mgomvi mkubwa ndani ya nyuma yetu.
Hali hiyo ilikuwa inaniumiza sana mimi kama mwanamke, maana mimi nimeolewa tena kwa ndoa halali kabisa, ni lazima yeye kama mume anihudumie mimi mkwe, lakini hakufanya hivyo.
Baada ya kuchunguza simu yake kwa muda mrefu, nikaja kugundua kuwa alikuwa na mahusiano na wanawake wengi, hao ndio hasa walikuwa anachukua fedha zake na yeye kuisahau familia yake.
Niliumia sana baada ya kubaini hilo, nilijiona sina thamani tena kwake, niliona ni bora nirudi kwa wazazi wangu, lakini kila ambapo nilipokuwa nawafikiria watoto wangu wataishije, nilikuwa naishiwa nguvu ya kufanya.
Wazo lilinijia kuwa nitafute watu wa mitishamba wanaweza kunisaidia kumtuliza huyo mwanaume, ndipo nikakutana na Dr Bokko ambao ndio waliokuja kuiponya ndia yangu.
Baada ya kuwaeleza tabia ya mume wangu jinsi ilivyokuwa, waliniambia wanaweza kumfunga, hivyo hatoweza tena kuwa na mpango wa kando maisha yake yote.
Niliwaambia basi wamfunge tu, na kweli tangu wakati huo naona ametulia nyumbani na kuzidisha mapenzi kwangu, na sasa anahudumia familia yake vizuri na fedha zinaonekana ndani ya nyumba tofauti na hapo awali.
Ninatoa wito kwa wenye shida au magonjwa, kusumbuliwa na mapenzi, ndoa, biashara, kukosa ujauzito n.k, basi wasisite kuwatembelea Dr Bokko, sio lazima usafiri hadi ofisini kwao, unaweza kuongea nao kwa njia ya simu na utasaidiwa kwa haraka. Piga kwa namba; +255618536050.
Mwisho.
0 Comments