Header Ads Widget

WAFAHAMU WAPIGA KURA ZA MAONI UBUNGE CCM


- Mabalozi na Wajumbe 4 Mashina 

- ⁠Kamati za Siasa Matawi

- ⁠Kamati za Utekelezaji UWT Matawi 

- ⁠Kamati za Utekelezaji Wazazi Matawi 

- ⁠Kamati za Utekelezaji UVCCM Matawi 

- ⁠Mjumbe 1 wa Mkutano wa Jimbo kutoka Matawi 

- ⁠Wenyeviti wa Serikali za Mitaa na Vijiji 

- ⁠Kamati za Siasa Kata zote

- ⁠Kamati za Utekelezaji UWT Kata zote

- ⁠Kamati za Utekelezaji Wazazi Kata zote 

- ⁠Kamati za Utekelezaji UVCCM Kata zote 

- ⁠Wajumbe 5 wa Mkutano wa Jimbo Kata zote 

- ⁠Kamati ya Siasa Wilaya 

- ⁠Kamati ya Utekelezaji UWT Wilaya 

- ⁠Kamati ya Utekelezaji Wazazi Wilaya 

- ⁠Kamati ya Utekelezaji UVCCM Wilaya 

- ⁠Sekretariat ya Wilaya

- ⁠Madiwani Viti Maalum 

- ⁠Wabunge Viti Maalum kama wapo,

Post a Comment

0 Comments



MAGAZETI



NAMBA ZA HUDUMA YA USAFIRI WA KUKODI