Na Matukio Daima media
Mwanachama wa Chama Cha Demokrasia na maendeleo (CHADEMA) Kanda ya Pwani Dorcas Francis Mwilafi leo amerejesha Rasmi Fomu ya kuomba kuteuliwa Kugombea ujumbe kamati kuu CHADEMA .
Mwanachama huyo amerejesha Fomu hiyo Leo jumapili Januari 5/01/2025 makao makuu ya chama Mikocheni Dar es salaam huku akiwa na matumaini Makubwa ya kutumika vema nafasi hiyo iwapo Chama kitamteua na wajumbe wa baraza kuu watamchagua.
0 Comments