Header Ads Widget

BALOZI DKT. NCHIMBI AWASILI ETHIOPIA MWALIKO WA CHAMA TAWALA CHA PP



KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi akipokelewa na Mhe. Dkt. Girma Amente, Mjumbe wa Kamati Kuu ya Prosperity Party (PP), chama tawala cha Ethiopia na pia Waziri wa Kilimo wa Serikali ya nchi hiyo, katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Bole. 


Balozi Nchimbi amewasili nchini Ethiopia kwa ajili ya ziara ya kikazi, kufuatia mwaliko wa PP.





Post a Comment

0 Comments



MAGAZETI



NAMBA ZA HUDUMA YA USAFIRI WA KUKODI