Mwenyekiti wa UVCCM Taifa, Mohamed Kawaida, ameelezea kutikitishwa na tukio hilo huku akiviomba Vyombo vya Usalama vichukue hatua kali kwa waliohusika.
Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya, Wilbert Siwa amesema tayari wamezipata taarifa hizo na wanaendelea kufanya uchunguzi kubaini Wahusika ili wachukuliwe hatua.
0 Comments