Header Ads Widget

DISEMBA 9 NA USAFI MJI NJOMBE






Na  Gabriel Kilamlya Matukio DaimaAPP NJOMBE

 Katika kusherekea miaka 63 ya uhuru wa Tanzania kila Disemba 9 ya Mwaka Halmashauri ya mji wa Njombe Asubuhi hii inaadhimisha kwa kufanya usafi katika maeneo mbalimbali pamoja na kutoa misaada kwa wahitaji.


Kwa mujibu wa Ofisa Afya Halmashauri ya mji wa Njombe Simon Ngasa Amesema zoezi la Usafi linafanyika katika maeneo tofauti ikiwemo katika eneo la kituo cha Afya Njombe mjini,Soko kuu na kupanda miti kuzunguka eneo la Shule ya sekondari mpechi.

Post a Comment

0 Comments



MAGAZETI



NAMBA ZA HUDUMA YA USAFIRI WA KUKODI