Abiria wanaosafiri kwenda mikoa ya Morogoro, Pwani na Dar es Salaam wakitokea mikoa ya nyanda za juu kusini Mbeya ,Njombe na Iringa wamekwama kwa muda katika eneo la Mlima Kitonga wilaya ya Kilolo mkoani Iringa baada ya barabara hiyo kutopitika kutokana na Lori lililojaribu kupita lori jingine mlimani kuharibika.
0 Comments