Header Ads Widget

TANZIA :FILICIAN CHAULA AFARIKI DUNIA


Tunapokea kwa mshtuko na masikitiko makubwa taarifa za kifo cha Felucian  Chaula , kilichotokea mchana wa leo jumatatu Disemba 8/2025  jijini Dar es Salaam.

Msiba upo Kijitonyama, nyumbani kwa dada yake marehemu. (Barabara itokayo Sayansi kuelekea Kwa Mtogole ukivuka daraja au njia panda ya polisi Mabatini, ni jirani.)

Safari ya kwenda Kalenga – Iringa kwa ajili ya maziko itafanyika Alhamisi, tarehe 11 Desemba 2025.

Mazishi yatafanyika Ijumaa, tarehe 12 Desemba 2025, huko Kalenga – Iringa.

Marehemu FelicianLI

Chaula alikuwa Mkurugenzi wa Kampuni ya Force Group Security na Mwekezaji wa Kituo cha IMTV Iringa.

Tunamuomba Mwenyezi Mungu ailaze roho yake mahali pema peponi, Amina. Mwenyezi Mungu awape wafiwa uvumilivu na faraja katika kipindi hiki kigumu.


 


Post a Comment

0 Comments



MAGAZETI



NAMBA ZA HUDUMA YA USAFIRI WA KUKODI