Na Christina Mwakangale
WAKILI Edwin Mugam bila, amesema sababu ya mtuhumiwa anayetajwa kwa jina la afande, kut ounganishwa katika kesi ya kubaka kwa kundi na kumwingilia kinyume cha maumbile binti mkazi wa Yombo Dovya, Dar es Saal- am, kunatokana na ushahidi duni na kukosa muungan iko wa picha na afande.
Amesema licha ya umma hususan kwenye mitandao ya kijamii kupaza sauti ku dai mtu anayetajwa kuwa ni afande alihusika kuwatuma vijana hao wanne walio kutwa na hatia mwishoni mwa wiki, ushahidi ulikosa muunganiko kati ya anay etajwa na picha aliyoonesh wa binti, ili athibitishe. Wakili huyo akizungumzaj ana, kupitia redio ya Clouds Fm. jijini Dar es Salaam, alisema kesi hiyo ilibeba hisia kali kijamii kulikuwa na maombi takribani 20 yal iyowasilishwa mahakamani, huku makundi ya mawakili zaidi ya matatu yakiomba kuifuatilia, huku ikiendesh wa kwa takribani miezi mi- wili hadi hukumu, akisema, lengo ni kumpunguzia msongo mtendewa "Binti (binti wa Yombo) mwenyewe tulipomhoji alisema picha aliyoonyesh wa kwamba ndiye afande,
Sasa ili yule mama (anay etajwa kuwa afande), aingie katika mashtaka ni lazima mimoja wa wale vijana
Kinachoelezwa ni kwam ba walichukuana baa (binti na washtakiwa) kwa maan dalizi fulani fulani, wamean za kumfanyia kile kitendo wakimwonesha picha, huku wakimtaka aombe msa maha kwa picha ya mwana mume, haijulikani alikuwa ni nani ila ni miongoni
wa katika mahakama hiyo wakikabiliwa na mashtaka mawili ya kubaka kwa kundi na kumwingilia kunyume cha maumbile binti huyo. Kwa mujibu wa Sheria ya Kanuni za Adhabu, Sura 16, iwapo wakithibitika ku tenda ukatili huo, watakum bana na adhabu ya kifungo cha maisha gerezani
wa ni Askari wa Jeshi la Wa- nanchi wa Tanzania (JWTZ). MT 140105 Clinton Damas, maarufu Nyundo na Amin Lerna, maarufu Kindamba. Wengine ni Askari Ma gereza C.1693 Praygod Mushi pamoja na Nick- son Jackson, maarufu Ma- chuche.
Washtakiwa wanne katika kesi ya kubaka kwa kundi na kumwingilia kinyume cha maumbile binti mkazi wa Yombo Dovya, Dar es Saal- am, mbele ya Mahakama ya Hakimu Mkazi Dodoma
Au njia ya pili kama wali- watuhukumiwa wana mali, zile mali zinakamatwa na kuuzwa kulipia fidia. Kwa uzoefu tulionao ni nadra hili kutokea, ila kwa kuwa anasi- mamiwa na taasisi za kishe ria, tuna imani wanaweza kusimamia hilo."
Aliserna kuhusu adha- bu zilizotolewa dhidi ya washtakiwa hao, mbali na kifungo cha maisha jela, Sheria ya Mwenendo wa Mashauri ya Jinai Kifungu
"Kiasi gani cha fidia anatakiwa apewe, hilo ni kwa jaji au hakimu, ndio maana akatoa amri wale vijana wote watoe shilingi milioni moja kila mmoja. Ingawa kuna madhara amepata huyo binti, madhara iliyo- pata familia wanaweza ku- fungua shauri la madai, kwa madhila aliyopitia, msongo na muda aliopoteza na ma- hangaiko kifamilia," alisema
wamtaje au shahidi yeyote, tofauti na hapo atatajwa yeyote kama hakuna usha hidi, hakuna muunganiko wa tukio hata sisi wenyewe tulitaka apelekwe ma- hakamani, lakini ushahidi uko wapi, labda kitakacho fanyika ni ushahidi wa kimazingira."
hiyo picha, ila kinachoele zwa na wahusika wakati wa kuchambua ushahidi, washtakiwa wenyewe Nyundo na wenzake, walise ma ilikuwa picha ya mmoja wetu (washtakiwa).
Lakini sasa pamoja na hisia zilikuwa nyingi. Hata sisi (mawakili) ilituletea con- fusion (mkanganyiko) sana. Binti, wakati wa tendo likiendelea alikuwa anaam- biwa 'muombe msamaha huyu... mimi sikuiona
hiyo confusion' mnafan yaje, mnahitaji japo chembe ya kum-konekti huyu mtu (afande) na tukio? Ili ku- pambana huyu mtu aletwe mahakamani kama mshtaki wa. Kulikuwa hamna muun ganiko," alisema wakili huyo ambaye ni Mkurugenzi wa Mtandao wa Kitaifa wa Ku pambana na Usafirishaji Haramu wa Binadamu.
wakili huyo. "Inategemeana na wanaweza kuomba fidia ya kiwango chochote hata Sh. bilioni 200 kutokana na tathmini ya mahakama ya madhara aliyoyapata, itakavyoona inafaa Na kama wana mali waliohuku miwa...au kwa nchi zilizoen delea kuna mfuko maalum wa fidia kwa waathirika wa
0 Comments