Ndugu Zangu Wawadau wa Matukio Daima media niwaombe sana nimsikimbilie kujiunga na link Ovyo sasa hivi unezuka utapeli Mwingi mitandaoni ambao Matapeli wanatuma link kuwa jiunge na link hii ukijiunga tu wanadukua namba Yako na kuitumia kufanya utapeli ama kukutapeli wewe Mwenyewe mfano sasa namba za watu maarufu humu wamezidukua kupitia Promotion ya UNICEF hivyo OGOPA Sana Promotion hii ni utapeli mtupu UNICEF hawajawahi endesha Promotion yoyote na sio kazi yao tuepuke pesa za bila kufanya kazi pia tuepuke pesa za mitandaoni nyingi ni utapeli ukihitaji pesa fanya kazi ama nenda kwa mtu unayefahamiana ama nenda Taasisi Halali za kifedha kama benk microfinance na nyingine zilizosajiliwa kwa kazi ya Mikopo .
Imetolewa na Francis Godwin mkurugenzi Matukio Daima media
IWAPO UNAHITAJI KUTANGAZA NA MATUKIO DAIMA MEDIA PIGA SIMU 0754026299
0 Comments