Mkazi wa Kijiji Cha Ntoija kata ya Kishogo Bukoba vijijini amekamatwa na polisi baada ya kumpaka rangi mbwa wake afanane na chui ili kuwatisha watu wa benki walioenda kumdai kurejesha hela ya mkopo.
Na Mwandishi Wetu, Lindi MAKAMU wa Rais, Mhe Emmanuel Nchimbi, amezindua rasmi Maadhim…
0 Comments