Na Matukio Daima media
matukiodaima3@gmail.com
Barua ya John Mnyika Kujiuzulu nafasi yake ya ukatibu wa Chama Cha Demokrasia na maendeleo (HADEMA)ni Fake News ambayo inasambaa kwa Kasi kwenye mitandao ya kijamii japo ukisoma mtiririko wa barua hiyo utabaini mengi ambayo ni wazi usiopingika kuwa ni matangapori (Uongo) Matukio Daima media imezungumza na John Mrema mkurugenzi wa itifaki,Mawasiliano na mambo ya nje Chadema mahojiano yapo kwenye Chanel ya Matukio Daima Tv TAZAMA VIDEO YA MAHOJIANO NA JOHN MREMA BOFYA LINK HII
0 Comments