Naibu Waziri, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Deus Sangu akizungumza leo na wananchi wa Kata ya Kaengesha , Jimbo la Kwela , Halmashauri ya Wilaya ya Sumbawanga mkoani Rukwa , ikiwa ni ziara ya kwanza tangu alipoteuliwa kushika wadhifa huo.
Sehemu ya wananchi wa Kata ya Kanda, Halmashauri ya Wilaya ya Sumbawanga Mkoani Rukwa wakimshangilia kwa shwange Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Deus Sangu mara baada ya kuwasili, ikiwa ni ziara yake ya kwanza tangu alipoteuliwa kushika wadhifa huo
Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Deus Sangu akisalimiana na Watumishi wa Ofisj ya Mkuu wa Mkoa wa Rukwa mara baada ya kuwasili katika Ofisi hiyo, ikiwa ni ziara ya kwanza tangu alipoteuliwa kushika wadhifa huo
Wanachama wa Chama cha Mapinduzi wakimlaki Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Deus Sangu mara baada ya kuwasili katika Ofisi za CCM Mkoa wa Rukwa, Ikiwa ni ziara ya kwanza tangu kuteuliwa kushika wadhifa huo
Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe.Deus Sangu akisalimiana na Daudi Chena mara baada ya kiwasili katika Kata ya Kanda, Ikiwa ni ziara yake ya kwanza tangu aliposhikawadhifa huo
0 Comments