Mwamdishi wa habari Peter akamatwa na polisi Kigoma.
Ndugu waandishi wa habari wenzangu, nimepata taarifa muda huu kuwa, mwandishi wa habari Mwemzetu Peter Katulanda anashikiliwa na Polisi Mkoani kigoma akiwa wanatekeleza majukumu yao ya kikazi
Tunaendelea kufuatilia sababu za kukamatwa kwake na kuhakilisha wanakuwa kwenye mikono salama pamoja na kupata dhamana.
Bado nafanya jitihada za kumtafuta kamanda wa polisi wa Mkoa wa Kigoma
Tutazidi kujuzana
Edwin Soko
13/8/2024
0 Comments