Header Ads Widget

ZAIDI YA WANANCHI 5000 KUTIBIWA MACHO BURE NACHINGWEA


TAZAMA VIDEO BOFYA LINK HII

Zaidi ya wananchi elfu 5000 kupatiwa matibabu ya macho bure katika hospitali ya wilaya ya Nachingwea mkoani Lindi kupitia Mo Dewji Foundation na Diamond Optical.

Akizungumza wakati uzinduzi wa utoaji huduma za macho bure, mkuu wa wilaya ya Nachingwea Mohamed Hassan Moyo ameushukuru uongozi wa Mo Dewji Foundation na Diamond Optical kwa kutoa hiyo bure kwa wananchi wa wilaya hiyo.



Moyo alisema kuwa zaidi ya wananchi elfu tano watapata huduma ya macho bure kwa siku tatu mfululizo katika hospitali ya wilaya ya Nachingwea ambapo zaidi ya madaktari 32 mabingwa macho

Post a Comment

0 Comments



MAGAZETI



NAMBA ZA HUDUMA YA USAFIRI WA KUKODI