Begi hili ni mfano tu
Mimi ni Stephano Waindi nimepoteza begi langu la nguo yenye rangi ya blue na mikanda miwili ya kuning'inia ndani ya begi kulikuwa na vitu vya thamani sana na nilivyowaambia makonda wa basi Hilo la Heshima linalofanya safari zake za Kahama to Dar walinilazimisha nisiingie nalo ndani ya basi kwani ni kubwa sana ndani ya begi kulikuwa na Camera Moja aina ya canon 600D, Taa mbili za kutolea video aina ya simplex, Microphone mbili Moja ya wireless na nyingine ya waya campuni ya Kodtek, mashine Moja ya kuchajia betri za microphone, Computer aina ya Deli , Redio Moja kubwa campuni ya sundra, Base ya stend ya camera, Nguo zangu pamoja na vitu vingine nlikuwa napanda gari kutoka DODOMA kwend Morogoro majira ya saa mbili usiku nilivyofika stand ya msamvu morogoro nikakuta begi Moja halipo kwa ambaye atafanikiwa kuiona simu 0686379638/0617453266






0 Comments