Header Ads Widget

DC MOYO ATAO SIKU 7 MANAWASA KURUDISHA MAJI NDOMONI

 

TAZAMA FULL VIDEO BOFYA LINK HII

Mkuu wa wilaya ya Nachingwea Mohamed Hassan Moyo ametoa siku saba kwa MANAWASA na RUWASA kurudisha mara moja maji kwa wananchi ili wananchi waendelee kufanya shughuli nyingine za kimaendeleo.


Moyo alisema kuwa serikali imetoa zaidi ya milioni 400 halafu hadi leo maji kwa wananchi hayatoki kisa mgogoro wa MANAWASA na RUWASA.


Agizo hilo ametoa baada ya kupokea kesho kutoka kwa wananchi wa NDOMONI wakisema kuwa wananchi wamekua wakitumia maji ya kwenye vidimbwi licha ya kata hiyo kuwa na mradi mkubwa wa maji katika kata hiyo,

Post a Comment

0 Comments



MAGAZETI



NAMBA ZA HUDUMA YA USAFIRI WA KUKODI