Kweli ukistaajabu ya Mussa utayaona ..Mwanandoa aliyezaa nje ya Ndoa kisha hakumuoa huyo dada ikumbukwe Mwanamke aliyekua anamuoa alikuwa hajui kama mwanaume huyo ana mtoto nje.
Siku ya harusi, wakati wa kutoa zawadi, mwanamama huyo alihudhuria sherehe hiyo na aliweka mtoto kwenye beseni kama zawadi. Mambo yakawa mambo. Je ungekuwa wewe mwanaume ama mwanamke ungefanyaje?
0 Comments