Header Ads Widget

WAHITIMU CHUO KIKUU MZUMBE WAAHIDI KUJENGA VYOO SHULE YA MSINGI MZUMBE

 


Katika tambua umuhimu wa michezo  shuleni Club ya mpira ya wahitimu chuo Kikuu mzumbe wameahidi kuchangia ujenzi wa vyoo na sehemu ya kubadilisha mavazi Kwa wasichana katika shule ya   msingi Mzumbe iliyopo wilayani Mvomero Mkoa wa Morogoro 

Hii ni sehemu ya mashirikiano kati ya Chuo Kikuu Mzumbe na wahitimu waliowahi kusoma Chuoni hapo ambapo ni miaka nne mfululizo  sasa wahitimu   hao wamekuwa na tabia ya kurudi chuoni na kushiriki shughuli mbalimbali za kijamii ikiwemo kupata miti pamoja na kufanya usafi


 Dkt.Lucy massoi ni  mkurugenzi wa kulugenzi ya Ukimataifaji  Baraza la wahitimu chuo kikuu Mzumbe  amesema Mpango mkakati wa Chuo hicho kuendeleza mashirikiano na wahitimu Ili wawe mabalozi Wazuri waweze kikitangaza  Chuo kwenye maeneo waliopo

Kwa mwaka huu 2024 wahitimu hao wameshiriki zoezi la kupanda miti, kufanya usafi pamoja na kucheza michezo mbalimbali ikiwemo mpira wa Pete, mpira wa miguu, kukimbuza kuku na kuvuta kamba.








Post a Comment

0 Comments



MAGAZETI



NAMBA ZA HUDUMA YA USAFIRI WA KUKODI