Aliyekuwa mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Nyasa Peter Msigwa kwa mara ya kwanza toka aangushwe na Joseph Mbilinyi Sugu katika nafasi hiyo kwa kupata kura 52 kwa kura 54alizopata mpinzani wake Sugu,kesho jumatatu anakusudia kuzungumzia na waandishi wa habari je nini ataamua?
0 Comments