Header Ads Widget

NEMC YASHTUKIZA KIWANDA BUBU NA KUBAINI MADUDU.

 


Baraza la  Taifa la uhifadhi wa mazingira Tanzania (NEMC) Kanda ya Mashariki Kusini, limefanya ukaguzi wa kushtukiza katika kiwanda bubu cha Plastize Company limited kilichopo Kijiji cha Sungwi, kata ya Masaki Kisarawe mkoani Pwani na kubaini kuwepo kwa mashine za kutengeneza mifuko ya plastiki pamoja na vifungashio visivyokidhi viwango.



Pamoja na hayo, kwenye ukaguzi huo timu ya wataalam imebaini uwepo wa mifuko ya Plastiki na vifungashio ambavyo vimezalishwa kwa mashine hizo ambavyo havijakidhi viwango.

Post a Comment

0 Comments



MAGAZETI



NAMBA ZA HUDUMA YA USAFIRI WA KUKODI