Header Ads Widget

ACT WAELEZA DENI LA SERIKALI KUZIDI NA KUFIKIA TRILIONI 1.3



CHAMA Cha ACT Wazalendo Zanzibar kimesema deni la serikali Zanzibarl imefikia shilingi tirioni 1.3 kutoka shilingi bilioni 153 katika kipindi cha miaka mitatu tangu serikali ya awamu ya nane kuingia madarakani. 


Hayo yameelezwa na makamu mwenyekiti wa chama hicho Ismail Jussa Ladhu wakati akihutubia mkutano wa hadhara wa chama hicho uliofanyika uwanja wa kivumbi jimbo la shauri moyo. 


Akizungumzi gharama  ujenzi wa miradi ya masoko matatu, ambayo ni soko la Jumbi, Kwerekwe na Soko la Chuwini amesema zimeongezeka kutoka shilingi bilioni 73 mpaka shilingi bilioni 102 jambo ambalo limesababisha hasara kwa Serekali. 


Naye mjumbe wa kamati kuu wa chama hicho, Mansour Yussuf Himid amesema rais wa Tanzania mama Samia Suluhu Hassan ameimarisha misingi ya demokrasia na utawala bora kutokana n ungwana wake tangu kushika wadhifa huo.



Chama cha act kinaendelea na mikutano yake ya jimbo kwa jimbo huku wakitumia muda mwingi kuzungumzia misingi ya demokrasia na utawala bora .zak isheria dhidi ya watu wanaotuhumiwa kwa ufisadi kwa mujibu wa ripoti ya mkaguzi na mdhibiti wa hesabu za serikali.

Post a Comment

0 Comments



MAGAZETI



NAMBA ZA HUDUMA YA USAFIRI WA KUKODI