Header Ads Widget

TUMEPOKEA KWA UNYENYEKEVU MKUBWA SHUKRANI HIZI


 Uongozi wa Matukio Daima media tumepokea kwa unyenyekevu mkubwa shukrani hizi pia tunaendelea kutoa pole kwa familia huku tukiamini kuwa siki gumu linakuja kukuangamiza ,magumu mengine hutokea ili kukuimarisha zaidi hivyo tuendelee kumtumaini mwenyezi Mungu Mwingi wa rehema Siku Zote.


NB :Matukio Daima media tunaendelea kuwakumbusha wale wote wenye shughuli mbali mbali tunatoa huduma kwa gharama nafuu zaidi iwapo una harusi ,Kipaimara,Msiba ,vikao ama shughuli yoyote inayohitaji kumbukumbu ya picha aina Zote na huduma ya MC na muziki Wasiliana na Mc Matukio Daima kwa namba 0747044508

Post a Comment

0 Comments



MAGAZETI



NAMBA ZA HUDUMA YA USAFIRI WA KUKODI