Mapema leo Mwenyekiti wa Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Taifa, Mohammed Ali Kawaida (MCC) ametembelewa na Viongozi wastaafu waliowahi kushika nafasi mbalimbali za Kiuongozi ndani ya Jumuiya ya UVCCM ambao kwa sasa ni Wakuu wa Wilaya katika maeneo mbalimbali nchini, katika Ofisi za Makao Makuu ya UVCCM Dodoma.
0 Comments