05/04/2024
Ndugu Wateja!
Tumeendelea kuthamini na kuboresha huduma kwa wateja ambapo sasa mteja wa Iringa anaweza kutoa taarifa Makao Makuu kwa namba 0748550000 au kutupigia simu Mkoa wa Iringa kwa namba 0739203015, Namba hii ya Mkoa itaanza kutoa huduma rasmi siku ya Jumatatu, Tarehe 8/04/2024 kuanzia Saa 02:00 Asubuhi
Unaweza kutumia namba za Makao Makuu au Mkoa wa Iringa Kutoa taarifa ya dharura, kuuliza, kutoa lalamiko au kuomba huduma zetu
Watoa huduma wetu wamejipanga kukuhudumia kwa tabasamu na ari kubwa
Imetolewa na:
Ofisi ya Uhusiano na Huduma kwa Wateja
TANESCO Mkoa wa Iringa
0 Comments