Ikiwa ni siku chache baada ya aliyekuwa Waziri wa Utalii na Mambo ya Kale, Simai Mohammed Said kutangaza kujiuzulu nafasi yake akisema mazingira ya kutekeleza jukumu hilo yamekuwa, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti
Amesema, “Serikali inapoa amua jambo na wewe hukubaliani nalo, unatoka unajiuzulu kwasababu hukubaliani na maamuzi yaliyotolewa na Serikali lakini kuna jambo moja lazima tukumbushane, wakati unawajibika kwa njia yeyote ile ya kwanza au ya pili ni lazima uwe mkweli na ukweli ninaozungumzia hapa ni kama kuna mgongano wa maslahi.”
0 Comments