Header Ads Widget

KAMANDA MALLYA APONGEZWA KWA KUPANDISHWA CHEO NA RAIS






Na Ibrahim Yassin. matukio Daima App.Songwe 


Maofisa, Wakaguzi na Askari wa vyeo mbali mbali wa Ofisi ya Kama nda wa Polisi Mkoani Songwe wakiongozwa na Afisa Mnadhimu, Kamishna Msaidizi wa Polisi ACP Gallus Hyera  wamempongeza Kaman da wa Polisi Mkoa huo kwa kupandishwa cheo kutoka Kamishna Msaid izi wa Polisi hadi kuwa Kamishna Msaidizi Mwa ndamizi wa Polisi.


Akitoa Pongezi hizo  leo Februari 21/2024 kwa niaba ya askari wengine Afisa Mn adhimu ACP HYERA ame bainisha kuwa, kitendo cha Kama nda huyo kup andishwa cheo na Mhe Rais ni kuaminiwa na ku onesha utendaji kazi mz uri ndan i ya Mkoa huo ambao ni lango la SADC.


Kwa upande wake Kam anda wa Polisi Mkoa wa Songwe Kamishna Msai dizi Mwandamizi wa Poli si SACP Theopista Mally a akizungumza na askari aliwapongeza Askari hao kwa kuchapa kazi na kus ababisha Mkoa wa Son gwe kuwa shwari pia aliwapongeza wananchi ambao wanaendelea kufuata sheria na kuuf anya Mkoa wa Songwe kuwa shwari ukiachana na wale wachache am bao bado Jeshi la Polisi linaendelea kutoa elimu ili kila mmoja aache uhalifu na jamii iwe salama.


Pia alimshukuru Mhe. Rais wa Jamhuri ya Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kuridhia upandishwaji huo lakini pia alimshu kuru Mkuu wa Jeshi la Polisi IGP Camillus Wambura ikiwa ni pamoj a na kuwashukuru Askari wote wa Mkoa wa Song we kwa kumpa ushirik iano mzuri wa kutekelez a majukumu ya kazi za Polisi na kuwataka waen dele kutekeleza majuk umu ya Jeshi la Polisi kwa kuzingatia Kauli mbiu ya Jeshi la Polisi.


Pongezi hizo pia ziliamb atana na hafla ya ukataji wa keki iliyoandaliwa na askari wa Mkoa wa Songwe.


Hata hivyo ushirikiano uliotukuka wa Kamanda Mallya dhidi ya wananchi hasa navyopita kila eneo ikiwemo nyumba za Ibada kutoa elimu juu ya madhara ya uharifu imepelekea wananchi kuishi vizuri na polisi.


Mwisho.

Post a Comment

0 Comments



MAGAZETI



NAMBA ZA HUDUMA YA USAFIRI WA KUKODI