Header Ads Widget

EDWARD LOWASSA AFARIKI DUNIA

 


Waziri Mkuu Mstaafu wa Tanzania, Edward Lowassa (70) amefariki dunia leo, Februari 10, 2024 wakati akipatiwa matibabu katika Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete iliyopo Hospitali ya Taifa ya Muhimbili jijini Dar es Salaam.


Taarifa za kifo chake zimetangazwa na Makamu wa Rais, Dkt. Philip Mpango.


Lowassa alikuwa waziri mkuu kati ya mwaka 2005 hadi 2008 chini ya uongozi wa Dkt. Jakaya Kikwete.


Mwaka 2015 Edward Ngoyai Lowassa aliwania urais kwenye uchaguzi mkuu akiwa mgombea wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ambapo mpizani wake alikuwa hayati Rais wa awamu ya 5 Dkt.John Magufuli.

Post a Comment

0 Comments



MAGAZETI



NAMBA ZA HUDUMA YA USAFIRI WA KUKODI