Header Ads Widget

MBUNGE DR ALICE KAIJAGE AWATAKA WAKURUGENZI KULIPA POSHO WATENDAJI

Mbunge wa vitu maalum kupitia kundi la wafanyakazi Dr Alice Kaijage amewataka wakurugenzi wote kuwalipa posho ya madaraka Kwa maafisa watendaji kata na vijiji ili kuongeza morali ya kazi katika kituo Cha kazi 

Akizungumza na wafanyakazi wa Halmashauri ya wilaya ya Nachingwea Mbunge Dr Alice Kaijage alisema kuwa watendaji wanatakiwa kulipwa sh laki Moja Kila mwezi Kwa kuwa posho hiyo ipo kisheria.


Alisema kuwa watendaji wamekuwa wanafanya kazi ngumu kuliko wakurugenzi wanavyofikiri, watendaji wapo kazi muda wote

Post a Comment

0 Comments



MAGAZETI



NAMBA ZA HUDUMA YA USAFIRI WA KUKODI