Header Ads Widget

KUELEKEA MAADHIMISHO YA MIAKA 62 YA UHURU WA TANGANYIKA WAMEENDELEA KIFURAHIA INTANENTI YA TTCL

 

Na Esther Machangu Matukio Daima,  Kilimanjaro.

Zaidi ya wapanda Mlima 228 wameendelea kutumia huduma ya intaneti ya shirika la Mawasiliano ya Tanzania TTCL huku ,wakiendelea kutuma matukio mbalimbali yanayotokea huko.


Mwakilishi wa Mkurugenzi mkuu wa TTCL, John Yahaya amesema, wapanda Mlima wote wanapata huduma hiyo Bure bila gharama yoyote na hii ikiwa ni moja ya malengo ya Shirika Hilo katika kuumunga mkono Raisi Samia Suluhu Hassan ya kuweka huduma za mawasiliano katika Vivutio mbalimbali.

Wapanda Mlima hao wanatarajiwa kuweka bendera ya uhuru wa Tanganyika siku ya kesho Desemba 9,2023 ikiwa ni Maadhimisho ya miaka 62 ya uhuru wa Tanganyika.

Post a Comment

0 Comments



MAGAZETI



NAMBA ZA HUDUMA YA USAFIRI WA KUKODI