Header Ads Widget

SAMIA ARIDHIA CHONGOLO KUJIULUZU UKATIBU MKUU CCM

 


Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan ameijulisha Halmashauri Kuu ya CCM ya Taifa kupokea barua ya kujiuzulu kwa Katibu Mkuu wa CCM Daniel Chongolo, na ameridhia ombi hilo.

 

Katibu wa NEC, Itikadi, Uenezi wa CCM Taifa, Paul Makonda amesema hayo leo Jijini Dar es salaam wakati akitoa taarifa kuhusu Kikao cha kawaida cha Halmashauri Kuu ya CCM ya Taifa kilichoketi leo Jijini Dar es salaam chini ya Mwenyekiti na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan. 



Pamoja na mambo mengine, kikao hicho kimejadili hali ya kisiasa ndani ya Chama na nje ya Chama hicho nchini na kimefanya uteuzi wa mwisho wa Wagombea wa nafasi za uongozi ndani ya Chama kwa ngazi ya Mkoa na Wilaya ili kujaza nafasi zilizoachwa wazi kutokana na sababu mbalimbali ikiwemo kifo na uteuzi wa nafasi nyingine




UONGOZI wa SHULE ZA NGOTI GREEN ACADEMY UNAPENDA KUWAPONGEZA WANAFUNZI WOTE WALIOFAULU MTIHANI WA DARASA LA SABA 2023 .

SHULE ZA NGOTI GREEN ACADEMY ZINATANGAZA NAFASI ZA MASOMO KWA WANAFUNZI WA DAYCARE,NURSERY NA PRIMARY KWA MWAKA 2024 .

SHULE IPO MGERA KATA YA KIWELE BARABARA KUU YA IRINGA PAWAGA USAFIRI WA UHAKIKA NA ADA UNACHAGUA MWENYEWE KULIPA KWA AWAMU NNE .

NGOTI GREEN ACADEMY KWA MAPINDUZI MAKUBWA YA ELIMU BORA NCHINI UFAULU NI HAKI YA MSINGI YA MTOTO.

KUMBUKA FOMU ZETU ZINAPATIKANA  KIHESA ZAHANATI AU KATIKA BLOG AMA APP YA  MATUKIO DAIMA 

KWA MAWASILIANO TUPIGIE 0765800310 ama 0745 151 632 au 0744138138.

NGOTI GREEN ACADEMY QUALITY EDUCATION FOR HIGH PERFORMANCE

Post a Comment

0 Comments



MAGAZETI



NAMBA ZA HUDUMA YA USAFIRI WA KUKODI