Katibu Mkuu wa Chama cha Wafanyakazi wa Vyombo vya Habari Tanzania (JOWUTA), Selemani Msuya akikabidhi maoni ya chama hicho kwa Mjumbe wa Kamati ya Kupokea Maoni Kuhusu Hali ya Uchumi kwa Vyombo vya Habari na Waandishi, Sebastian Maganga, wengine ni kushoto ni Naibu Katibu Mkuu wa JOWUTA, Said Mmanga na Mjumbe wa Bodi ya JOWUTA, Caren-Tausi Mbowe.Kulia ni Mtaalam wa Kamati, Dk Abdallah Katunzi.
0 Comments