Na Simon Joshua - Matukio Daima App, Dar es Salaam.
Rais wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amemvua hadhi ya Ubalozi Dkt. Wilbroad Peter Slaa kuanzia leo September 01, 2023 ikiwa ni takribani miaka 6 toka Dkt. Slaa alipoteuliwa kuwa Balozi November 23, 2017.
0 Comments