Na Simon Joshua - Matukio Daima App, Johannesburg.
Ubalozi wa Tanzania nchini Afrika Kusini umesema watanzania watano wamefariki dunia katika ajali ya moto uliowaua watu 74 nchini Afrika Kusini jana Alhamisi.
Ubalozi wa Tanzania nchini Afrika Kusini umesema watanzania watano wamefariki dunia katika ajali ya moto uliowaua watu 74 nchini Afrika Kusini jana Alhamisi.
Balozi wa Tanzania nchini Afrika Kusini Meja Jenerali Gaudence Milanzi ameiambia BBC Swahili kuwa vifo vya watu hao watano vimethibitishwa na Jumuiya ya Watanzania nchini humo.
0 Comments