Header Ads Widget

ITAMBA FC YASHINDA 7 LIGI YA MANISPAA YA FADHILI NGAJILO.

Na Simon Joshua - Matukio Daima App, Iringa.

Timu ya Itamba FC ya mjini Iringa imetoa kipigo kizito cha 7-1 kwa timu ya Makorongoni FC mchezo uliochezwa hapo jana katika uwanja wa Shule ya msingi Mlandege.


Huu ni mwendelezo wa ligi ya manispaa inayodhaminiwa na Fadhili Ngajilo.

















Post a Comment

0 Comments



MAGAZETI



BBC NEWS