Header Ads Widget

SERIKALI YATAKIWA KULETA NISHATI MBADALA.

 


Na Gift Mongi ,Matukio Daima App

Dodoma

Huenda wananchi wanafirikia kama ipo siku serimmkali itawajengea mkakati na kuondokana na gesi ya ya wanyama ambayo pia kwa sasa inaonekana ni kama mtambuka!

Ni sawa lakini  Je? Wizara ina mikakati gani kuwekeza kwenye Nishati endelevu kama ile ya kupata gesi ya kupikia na kuwasha taa kutoka kwenye kinyesi cha wanyama kama njia mojawapo ya kupunguza matumizi ya kuni?anahoji mbunge wa Moshi Vijijini Prof Patrick Ndakidemi ambapo wnaongeeza


Je? Serikali haioni umuhimu wa kuhamasisha matumizi ya majiko ya mkaa banifu kama vile mkaa tofali utokanao na pumba za mpunga na masalia mengine ya mimea ili kuepukana na kukata miti?


Baadhi ya wadau wa mazingira wamedai kuwa mbunge huyo ana maono katika kuhifadhi mazingira na kuwa wengi wangekuwa na maono kama yake nchi ingefika mbali


'Ndakidemi anaona mbali ila tukipata watu kama hawa taifa litapiga hatua ni lazima tuwekeze kwenye hii teknolojia'anasema


Katika mazungumzo na chombo hiki Prof Ndakidemi anasema kuwa kuwepo kwa nishati mbadala kuyaongeza kasi ya uzalishaji tofauti na sasa.


'Nakwambia mwandishi haya mambo ya teknolojia huwezi kuyakwepa ila yahitqjika nishati mbadala'anasema


Ibrahimu Maimu mkazi wa Uru Shimbwe anasema inahitajika mjadala rafiki ili wananchi waweze kubadili mfumo wa nishati tofauti na sasa.


'Madhara yanajulikana shida je watu wana uelewa?kama hawana nini kifanyike naona bado ugumu upo hapa'anasema


Post a Comment

0 Comments



MAGAZETI



NAMBA ZA HUDUMA YA USAFIRI WA KUKODI