Dkt Msukuma ambae ni mbunge wa Geita ametoa kauli hiyo Leo wakati wa mkutano wa Hadhara wa Kuhitimisha ziara ya katibu mkuu wa CCM Daniel Chongolo Katika mkoa wa Iringa.
Amesema kuwa CHADEMA Sasa wamegawanyika jeshi la anga la akina Mbowe na jeshi la Ardhini la akina Msigwa ambao wote hawana hoji.
"Mimi ningekuwa Rais wa Nchi hii tungerudi kulekule tulikotoka maana hatuwezi kuwa na vyama vinavyoendesha siasa za matusi " alisema Dkt Msukuma
Kuwa tena akina Msigwa na wenzake wanatakiwa kutulia wakijaribu kutaka kumjibu watambue yeye ni MNEC wa Nchi nzima atawachapa kweli kweli
0 Comments