Header Ads Widget

BONDIA MWAKINYO KUKIWASHA DODOMA

 


Mkurugenzi wa Kampuni ya Lady in Red Boxing Promotion, Sophia Mwakagenda (katikati) akiwatambukisha mabondia, Hassan Mwakinyo (kushoto) na Kuvesa Katembo baada ya kupima uzito katika Uwanja wa Jamhuri jijini Dodoma. 

Pambano hilo lisilokuwa la ubingwa ni kwa ajili ya kununua taulo za kike 40,000 kwa wanafunzi wa mikoa ya Nyanda za Juu Kusini.


Bondia Hassan Mwakinyo akipima uzito kwa ajili ya pambano lake na Kuvena Katembo kutoka Afrika ya Kusini, litakalofanyika kesho Aprili 23 katika Uwanja wa Jamhuri jijini Dodoma. Pambano hilo lisilokuwa la ubingwa ni kwa ajili ya kununua taulo za kike 40,000 kwa wanafunzi wa mikoa ya Nyanda za Juu Kusini.

Post a Comment

0 Comments



MAGAZETI



NAMBA ZA HUDUMA YA USAFIRI WA KUKODI