Header Ads Widget

MWANDISHI WA HABARI EDWIN SOKO ATEULIWA KUWA MKURUGENZI MTENDAJI WA TAASISI YA TMFD

 


Taasisi ya Tanzania Media for Maritime and Fisheries Development (TMFD) inayofanya kazi katika eneo la vyombo vya habari na uvuvi hapa Tanzania imepata Mkurugenzi wake mpya.


Mwandishi wa habari mkongwe Edwin Soko ameteuliwa kuwa Mkurugenzi mpya wa taasisi hiyo.


Uteuzi huo umetangazwa kupitia taarifa kwa umma iliyotolewa na Mwenyekiti wa bodi  ya Wakurugenzi ya (TMFD) Bwana Tumaini Mbibo jana Februari 17, 2023 na uteuzi huo umeanza rasmi jana.

Post a Comment

0 Comments



MAGAZETI



NAMBA ZA HUDUMA YA USAFIRI WA KUKODI