Mkuu wa Wilaya ya Kilombero Mhe. Dunstan Kyobya ameungana na Wanafunzi wa Kilombero Secondari iliyopo Wilaya ya Kilombero Mkoa wa Morogoro, leo tarehe 27 Jan 2023,kusherekea siku ya Kuzaliwa ya Mhe. Rais Dr. Samia Suluhu Hassan.
Wamepongeza na kumshukuru Mhe. Rais kwa kuwaletea milion 260 kwa ajili ya Ujenzi wa Madarasa 13, pamoja na kutoa elimu bila malipo.
Tukio Hilo liliongozwa na Mkuu wa Wilaya ya Kilombero, Mhe. Dunstan Kyobya, aliyeambatana na Viongozi mbalimbalinwa Halmashauri ya Mji wa Ifakara.
0 Comments