Header Ads Widget

SOMA MAGAZETI LEO J5,DISEMBA 28,2022:TAM YATOA ANGALIZO MVUA KUBWA MIKOA 11 IRINGA,NJOMBE ,RUVUMA...

 





Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imetoa angalizo la mvua kubwa zinazoweza kuleta madhara zinazotarajiwa kunyesha katika mikoa 11 ya Tanzania.

Kwa mujibu wa taarifa ambayo imetolewa na Mamlaka hiyo kuhusu matarajio ya Hali ya Hewa, imeelezwa kuwa Mikoa hiyo ni Ruvuma, Njombe, Iringa, Morogoro, Mbeya, Songwe, Rukwa, Singida, Dodoma, Lindi na Mtwara.




























Post a Comment

0 Comments



MAGAZETI



NAMBA ZA HUDUMA YA USAFIRI WA KUKODI