Lukuvi amesema Imani ambayo kamati Kuu imeonesha kwake ni kubwa hivyo kuwaomba Wajumbe wa mkutano mkuu wa CCM Taifa kumpa kura ya ndio ili kushiriki Katika ujenzi wa chama na kuendelea kusimama na mwenyekiti wa CCM na Rais Dkt Samia kuendekeza kazi nzuri inayoendelea kufanyika hapa nchini .
KAZI NA UZOEFU WA UONGOZI
>Mwalimu
MA-Political Science - OUT
UZOEFU: UVCCM
>Katibu wa wilaya/Masasi /Mtwara /Arusha/Dodoma- UVCCM.
>Mjumbe wa Baraza kuu na kamati ya utekelezaji Taifa-UVCCM.
>Mkuu wa idara ya Oganaizesheni-UVCCM.
>Katibu wa Mkoa DSM- UVCCM
>Naibu Katibu Mkuu-UVCCM
UZOEFU: CCM
>Mjumbe wa Halmashauri kuu ya Wilaya.
> Mjumbe wa halmashauri kuu ya Mkoa
> Nimepata kuwa Mjumbe wa NEC
>Nimepata kuwa Mjumbe wa Kamati kuu
>Nimepata kuwa Mjumbe wa Kamati ya maadili Taifa.
>UZOEFU: SERIKALINI
>Mkuu wa wilaya ya Bukoba-1994
>Naibu waziri-1995-2000
>Waziri wa nchi ofisi ya waziri Mkuu 2000-2005 na 2010-2014
>Mkuu wa mkoa wa Dodoma na Dar es salaam_ 2006-2010
>Waziri wa Ardhi 2014-8 Jan 2022
#Mbunge_1995 hadi sasa.
0 Comments