Header Ads Widget

TAARIFA YA KUWASILI NA MAZISHI YA GERALD MWANILWA

 


Taarifa ya Awali ya Mapokezi ya Mwili wa Gerald Mwanilwa

1.Mwili utaingia Ijumaa  Dar e salaam.saa 7 mchana kutokea nchini India.4/11/2022

2.Mwili utaagwa Dar siku ya Jmosi.5/11/2022

3.Mwili utaingia Dodoma siku ya Jumapili.6/11/2022

4.Mwili utaagwa Dodoma siku ya Jumatatu 7/11/2022 na kupelekwa  Mkoani  Iringa.

5.Maziko yatakuwa siku ya Jumatano Mkoani Iringa.9/11/2022


Bwana ametoa,Bwana ametwaa,Jina lake lihimidiwe

Post a Comment

0 Comments



MAGAZETI



BBC NEWS