Header Ads Widget

RC MAKALLA AONGOZA UKAGUZI WA MTO RUVU NA VYANZO VYA MTO RUVU MKOA MOROGORO


Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Mhe. Amos Makalla leo Ameongoza ukaguzi wa kukagua Mto Ruvu pamoja Na mito yote inayoingiza maji katika Mto Ruvu ambapo

Ziara hiyo amehusisha vyombo vya ulinzi, Kaimu Mkuu wa Mkoa Pwani Sara Msafiri Na watalaam wa bonde Mto Ruvu.


Ukaguzi umefanyika katika Mto Ruvu kuanzia Wilaya Bagamoyo, Kibaha Na Morogoro vijijini Kwa kuangalia vyanzo vya Mito ya Mgeta, Mvuha   Na Dutumi.


Katika ukaguzi huo wameona maji yakiendelea kupungua kutokana Na ukame pia baadhi ya maeneo yakiwa Na mifugo ambapo amewataka wananchi wa Dutumi Na Mvuha kuondoa haraka mifugo katika vyanzo vya maji ikiwemo mto Ruvu.







Post a Comment

0 Comments



MAGAZETI



BBC NEWS