Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kasimu Majaliwa Meneja wa TANROAD Mkoa wa Mwanza,Mhandisi,Ambrose Pascal
Kaimu Mkurugenzi mkuu wa Shirika la Reli Tanzania Amina Rumuli
xxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxx
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kasimu Majaliwa ameagiza wakala wa barabara nchini, ( TANROADS ) kusimamia Daraja la Jpm linakamilika kwa wakati na kwa ghalama ile ile huku akiahidi hakuna mradi wa kimkakati utakaokwama hapa nchini
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kasimu Majaliwa amewaagiza wafanyakazi wa Tanzania ( Wazawa ) ambao wanajenga Mradi wa Daraja la Jpm kuwa wazalendo kwa kulinda na kuachana na wizi wa vifaa vinavyotumika katika ujenzi wa daraja hilo
Waziri Mkuu wa Jmahuri ya Muungano wa Tanzania Kasimu Majaliwa ametembelea na kukagua maendeleo ya Ujenzi wa Daraja la Magufuli linalojengwa ndani ya ziwa victoria eneo la Kigongo - Busisi kwa thamani ya shilingi bilioni mia saba na lenye urefu wa kilometa 3.6.
Meneja wa TANROAD Mkoa wa Mwanza,Mhandisi,Ambrose Pascal amesema, hadi hivi sasa mradi wa kimkakati wa Daraja la Jpm maarufu Kigongo Busisi umegharimu kiasi cha shilingi bilioni 257/- ,Ujenzi huku na umefikia asilimia 53.6%.
Aidha Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kasimu Majaliwa ametembelea na kukagua maendeleo ya mradi wa SGR Lot 5 ( Isaka - Mwanza ) katika eneo la Fela wilayani Misungwi mkoani Mwanza ambao umefikia asilimia 14 na utaghalimu kiasi cha shilingi tirioni 3.3 kutoka Mwanza - Isaka
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kassim Majaliwa ameagiza vyombo vya ulinzi vya ulinzi na usalama wilaya ya Misungwi kusimamia rasilimali zote za ujenzi ikiwemo nondo na seruji ili kuzuia wizi katika ujenzi wa mradi wa SGR kipande cha Mwanza - Isaka
Waziri wa Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi Godfrey amesema, kukamilika kwa ujenzi wa treni ya SGR kutasaidia urahisi wa usafirishaji wa mizigo kutoka Dar es Salaam kwenda Mwanza huku akisema reli hiyo inajengwa kwa kiwango cha kimataifa.
Kaimu Mkurugenzi mkuu wa Shirika la Reli Tanzania Amina Rumuli, amesema amesema ujenzi wa SGR kipande cha tano miongoni mwa vipande vya kwanza umefikia asilimia 14.1 % kufikia mwezi wa tisa na unaendelea usanifu kwa ajili ya kulaza tuta la reli takribani zaidi ya laki tano hadi kukamilisha ujenzi.













0 Comments