Kikosi kazi cha kuratibu maoni ya wadau kuhusu demokrasia ya vyama vingi nchini, kimependekeza sheria ziboreshwe kuweka ukomo wa miaka 10 ya ubunge, uwakilishi au Diwani wa viti maalum
Akiwasilisha mapendekezo hayo leo Ijumaa Oktoba 21, 2022 Ikulu jijini Dar es Salaam, mwenyekiti wa kikosi kazi, Profesa Rwekaza Mukandala amesema wanapendekeza utaratibu wa kuwa na viti maalum vya wabunge wawakilishi na madiwani wanawake uendelee.
0 Comments