Header Ads Widget

RAIS WA ZANZIBAR ALHAJ DK.HUSSEIN ALI MWINYI AMEJUMUIKA NA WANANCHI WA BWELEO KATIKA KISOMO CHA HITMA NA DUA KUMUOMBEA MAREHEMU DKT.MWINYIHAJI MAKAME MWADINI


RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akijumuika na Wananchi wa Bweleo katika kisomo cha Hitma na Dua ya kumuombea Marehemu Dkt. Mwinyihaji Makame Mwadini kilichofanyika katika Msikiti wa Ijumaa Bweleo Wilaya ya Magharibi “B” Unguja na (kulia kwa Rais) Katibu Mtendaji wa Ofisi ya Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh.Khalid Ali Mfaume na (kushoto kwa Rais) Mwalimu Khamis.(Picha na Ikulu)


RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akijumuika na Wananchi wa Bweleo katika kisomo cha Hitma na Dua ya kumuombea Marehemu Dkt. Mwinyihaji Makame Mwadini kilichofanyika katika Msikiti wa Ijumaa Bweleo Wilaya ya Magharibi “B” Unguja na (kulia kwa Rais) Katibu Mtendaji wa Ofisi ya Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh.Khalid Ali Mfaume na Balozi Mohammed Ramia Abdiwawa  (kushoto kwa Rais) Mwalimu Khamis.(Picha na Ikulu)


RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akishiriki kuitikia dua ya kuhitimisha kisomo cha Hitma ikisomwa na Sheikh Mussa Ali Kirobo.(hayupo pichani) kumuombea Marehemu Dkt. Mwinyihaji Makame Mwadini kilichofanyika katika Msikiti wa Ijumaa Bweleo Wilaya ya Magharibi “B” Unguja na (kulia kwa Rais) Katibu Mtendaji wa Ofisi ya Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh.Khalid Ali Mfaume na (kushoto kwa Rais) Mwalimu Khamis.(Picha na Ikulu)


RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akitowa mkono wa pole kwa Familia ya Marehemu Dkt.Mwinyihaji Makame Mwadini, baada ya kumalizika kwa kisomo cha Hitma na Dua ya kumuombea Marehemu iliyofanyika katika Msikiti wa Ijumaa Bweleo Wilaya ya Magharibi “B” Unguja (Picha na Ikulu)

Post a Comment

0 Comments



MAGAZETI



NAMBA ZA HUDUMA YA USAFIRI WA KUKODI