Huduma zetu
Wafanyakazi wa shirika la Posta mkoa wa Iringa na Njombe wakiwa tayari kwenda kukabidhi msaada Kwa Yatima
Meneja wa shirika la Posta mkoa wa Iringa na Njombe Bernansgar clemence olomi Mwenye koti la suti Katikati akiwa na wafanyakazi wenzake
Mkuu wa kituo Cha kulea watoto Yatima Cha Huruma Center Iringa akitoa taarifa ya kituo Kwa wageni
Baadhi ya wafanyakazi wa shirika la Posta wakimsikiliza mkuu wa kituo Cha kulea watoto Yatima Cha Huruma Center
0 Comments